Mwalimu wa Kifaransa Anahitajika

Wabogojo

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2010
Posts
354
Reaction score
87
Heshima kwenu Great Thinkers!

Nina kijana wangu yuko Songea Secondary school anahitaji mwalimu wa kumfundisha lugha ya Kifaransa, tafadhali kuna mwalimu wa lugha hiyo huko Songea basi naomba ajitokeze hapa ili niwaunganishe.
 
mm natafuta anayefahamu kihehe mana kuna kijana wangu kutoka india anakuja mwezi ujao kwenda iringa kumsalimia babu yake,anayejua kihehe anijibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…