P pilau JF-Expert Member Joined Aug 16, 2012 Posts 1,595 Reaction score 451 Jun 18, 2013 #1 Wadau... Ninaye mwalimu wa Kifaransa anatafuta sehemu ya kufundisha watanzania wenzake mwenye kufahamu sehemu wanakohitajika walimu hata kwa part time naomba PM tafadhali...
Wadau... Ninaye mwalimu wa Kifaransa anatafuta sehemu ya kufundisha watanzania wenzake mwenye kufahamu sehemu wanakohitajika walimu hata kwa part time naomba PM tafadhali...