mwalimu wa kiitaliano

mwalimu wa kiitaliano

Iyokopokomayoko

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2011
Posts
1,785
Reaction score
442
habari jf,

kuna rafiki yangu mmoja ni mzungumzaji na mwandikaji mzuri sana wa lugha ya kiitaliano, anatafuta chuo cha ngazi mpaka ya diploma afundishe kiitaliano. Ikiwa kuna chuo kinahitaji mwalimu wa kiitaliano ni-PM
 
Back
Top Bottom