Iyokopokomayoko JF-Expert Member Joined Sep 15, 2011 Posts 1,785 Reaction score 442 Dec 18, 2011 #1 habari jf, kuna rafiki yangu mmoja ni mzungumzaji na mwandikaji mzuri sana wa lugha ya kiitaliano, anatafuta chuo cha ngazi mpaka ya diploma afundishe kiitaliano. Ikiwa kuna chuo kinahitaji mwalimu wa kiitaliano ni-PM
habari jf, kuna rafiki yangu mmoja ni mzungumzaji na mwandikaji mzuri sana wa lugha ya kiitaliano, anatafuta chuo cha ngazi mpaka ya diploma afundishe kiitaliano. Ikiwa kuna chuo kinahitaji mwalimu wa kiitaliano ni-PM