Adharusi JF-Expert Member Joined Jan 22, 2012 Posts 14,422 Reaction score 7,350 Oct 23, 2012 #1 Kama kuna shule au chuo kinahitaji mwalimu wa somo la kiswahili; yupo anapatika kwa ku-MP jamiiforums, wasifu wake 1.BA with EDUCATION(2009)UDSM 2.Masomo aliyosoma -kiswahil na HISTORY 3.somo analofundisha ni KISWAHILI
Kama kuna shule au chuo kinahitaji mwalimu wa somo la kiswahili; yupo anapatika kwa ku-MP jamiiforums, wasifu wake 1.BA with EDUCATION(2009)UDSM 2.Masomo aliyosoma -kiswahil na HISTORY 3.somo analofundisha ni KISWAHILI
Perry JF-Expert Member Joined Feb 24, 2011 Posts 10,058 Reaction score 2,195 Oct 23, 2012 #2 Tangu 2009 alikua wap?
THE BIG SHOW JF-Expert Member Joined Feb 28, 2012 Posts 16,950 Reaction score 13,527 Oct 23, 2012 #3 adharusi said: kama kuna shule au chuo kinahitaji mwalimu wa somo la kiswahili; yupo anapatika kwa ku-mp jamiiforums, wasifu wake 1.ba with education(2009)udsm 2.masomo aliyosoma -kiswahil na history 3.somo analofundisha ni kiswahili Click to expand... mungu akutangulie..
adharusi said: kama kuna shule au chuo kinahitaji mwalimu wa somo la kiswahili; yupo anapatika kwa ku-mp jamiiforums, wasifu wake 1.ba with education(2009)udsm 2.masomo aliyosoma -kiswahil na history 3.somo analofundisha ni kiswahili Click to expand... mungu akutangulie..
T twilumangula New Member Joined Oct 24, 2012 Posts 4 Reaction score 1 Oct 24, 2012 #4 ninachojua walimu wanatafutwa kila mahali. toka 2009 alikuwa wapi ama ndo wale ambao wanpenda kufundisha mkoa mmoja tu(Dar es Salaam).
ninachojua walimu wanatafutwa kila mahali. toka 2009 alikuwa wapi ama ndo wale ambao wanpenda kufundisha mkoa mmoja tu(Dar es Salaam).