Mwalimu wa kubadilishana kituo cha kazi

Mwalimu wa kubadilishana kituo cha kazi

Joined
Sep 15, 2014
Posts
23
Reaction score
5
Natafuta mwalimu wa kubadilishana naye kituo. Cha kazi , awe anatoka. Mikoa ya Kilimanjaro ,Arusha, Manyara. Dodoma, Tanga na Singida , Mimi niko mkoa wa Lindi wilaya ya Liwale. Mawasiliano 0656 362221 au 0762 081251 asanteni. Idara ya Sekondari
 
Back
Top Bottom