mkananguja
Member
- Jan 30, 2014
- 55
- 3
Jamani napenda kutoa ya moyoni kama kuna mwl. aliyepangwa mkoa wa Mtwara na anatoka NJOMBE/LUDEWA tubadilishane mie niende kwetu yeye aje LUDEWA, shule LUANA,KATA LUANA idara msing ni kama chache kufika LUDEWA MJINI
NO: 0753884902
NO: 0753884902