Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi ni mwalimu wa chemistry na biology bachelor(2022)
Ninatafuta shule ya serikali yenye uhitaji wa mwalimu wa kemia na baiolojia. Iniajiri kama mwalm wa kujitolea.
Napatikana mkoani Mbeya.
Mkuu kamwe kamwe usije ukajaribu kujitolea shule za serikali kwa lengo la kuajiriwa, kutafuta pesa ndogo ndogo ya kujikimu.Mimi ni mwalimu wa chemistry na biology bachelor(2022)
Ninatafuta shule ya serikali yenye uhitaji wa mwalimu wa kemia na baiolojia. Iniajiri kama mwalm wa kujitolea.
Napatikana mkoani Mbeya.