Kufundisha Kuanzia kidato gani Mkuu?Naweza kuwa offline, nipigie 0763256631
Nipe hiyo nafasi,nifundishe o level, maana ni mwaka sasa nimekaa nje ya Field baada ya kupata ajali, inawezekana kufanya kazi for six months then niondoke?Hbari za leo? kama kuna mwalimu wa hesabu mwenye uwezo wa kufundisha vizuri o-level na A-level na angependa kujitolea naomba ani-pm. Tutamlipa posho isiyozidi laki mbili na nusu kwa mwezi. Akihitaji kulipwa hiyo posho kwa wiki ni sawa pia(250,000/7). Utapata kifungua kinywa, chakula cha mchana na hata jioni kama utakuwepo mazingira ya shule hadi jioni. Shule ipo Dar es salaam. Karibuni.
Ongeza ongeza hiyo posho basi, walau ifikie laki 3 kwa mwezi, ili Mods wakurekebishie kwa urahisi kabisa.Mods, nimeteleza hapo. Naomba isomeke MATHEMATICS badala ya MATHEMATICA.
Kwa huu msoto acha tuishi na hiyo posho sio mbaya kwa kuanziaOngeza ongeza hiyo posho basi, walau ifikie laki 3 kwa mwezi, ili Mods wakurekebishie kwa urahisi kabisa.
Kwa Jiji kama la Dar, kwa posho ya laki 2.5, bado uko chini Mkurugenzi.
Yeah upo sahh either uchukue kwa week au kwa mwenziHizo hesabu kwenye mabano unamaanisha utamlipa mwalimu 62,500 tu.
Kama sijui hesabu nisahihishe
Wewe ndo hauko sahihi rekebisha isome 250,000/=Yeah upo sahh either uchukue kwa week au kwa mwenzi
MATHEMATICS ni program ya kompyuta kwa ajili ya ku-solve mathematical problemsHbari za leo? kama kuna mwalimu wa hesabu mwenye uwezo wa kufundisha vizuri o-level na A-level na angependa kujitolea naomba ani-pm. Tutamlipa posho isiyozidi laki mbili na nusu kwa mwezi. Akihitaji kulipwa hiyo posho kwa wiki ni sawa pia(250,000/4). Utapata kifungua kinywa, chakula cha mchana na hata jioni kama utakuwepo mazingira ya shule hadi jioni. Shule ipo Dar es salaam. Karibuni.