Mwalimu wa kunifundisha kupamba keki

Mwalimu wa kunifundisha kupamba keki

Miss trinity

Member
Joined
Feb 18, 2014
Posts
95
Reaction score
24
Habari ni ndugu,

Natafuta mwalimu wa kunifundisha upambaji wa keki ili nijiajiri.

NinaujuzI huo ila nahitaji kujua hiyo sana. Natak kujua sana na ntalipa kwa ajili ya hilo.

Nipo DSM please ambae unamjua mtu anayefundisha please ni PM.
 
mcheki na huyu0784251225
 
Back
Top Bottom