Mwalimu wa Literature na English Language natafuta kazi

Mwalimu wa Literature na English Language natafuta kazi

maritweet

Member
Joined
Sep 18, 2021
Posts
46
Reaction score
41
Salaam Jukwaa hili pendwa la JF-ajira.

Ni miaka mitatu sasa tangu nimalize chuo kikuu X.

Nimejaribu kupeleka barua za maombi ya ajira shule binafs bila mafanikio yeyote.

Masomo yangu ni English &Literature.

Kwa moyo wa unyenyekevu kabisa naomba kama kuna atakayeguswa anitafutie konekshen either ya kufundisha ,au hata nyingine yyte kutegemea na elimu yangu,naweza pia kufanya kaz kama social worker.Jinsia yangu ni KE.

Karibu sana PM kwa maelezo zaidi na kwa mawasiliano ya karibu.

Uzoefu mwingine nje ya proffessional ni Sales&Marketing.(Ndani na Nje ya ofisi).

Kutafsiri lugha(Kiswahili-Kiingereza )

Natanguliza shukrani na Mungu akubariki.
 
Umeolewa? Samahani lakini Nina Nia njema KBS kukuuliza hivo maana me nina biashara zangu Sasa nahitaji mke wa kutengenezea naye maisha asimamie business ila asiwe tu single mother.
Subiri aje PM, halafu week ijayo uje na thread ya kulalamika kuhusu mapenzi tena kaka. Vizuri.

Utanikuta JF. Ntarusha mawe humu mpaka mods wakimbie.[emoji23]
 
Dar,umri 32yrs
Ulisoma mkubwa sana..kama una miaka mitatu upo mtaani inamanisha umemaliza 2018...six 2015...four 2012,saba 2008 dar kuna changamoto sana ila ukija mikoa utapata...KBS...ila kama unaweza njoo pm nikutumie namb ya HR fulan iv uko Zanzibar... Ujarib kuongea nae...
 
Elimu Haina umri, mkubwa watu chuo kikuu wazee wanasoma, kikubwa Nia.
 
Back
Top Bottom