Semahengere
JF-Expert Member
- Nov 29, 2020
- 1,186
- 1,966
Habari wadau,
Ni dhahiri kwamba mwalimu wa Manyara FC alitukosesha ushindi jana nyumbani. Kikosi alichokipanga kipindi cha kwanza kilikuwa na uwezo mdogo, baada ya mapumziko alivyofanya mabadiliko timu iliingia kwa nguvu ya ajabu sana
Tuna kila sababu ya kukulaumu.