Habari zenu wana Jamii,
Hivi karibuni nimepata wazo la kuanzisha biashara ya chakula ila nina shida ya mwalimu wa mapishi, sana sanaa ni utengenezaji wa SALAD za aina mbalimbali,naomba msaada sana jamani. Kama unamjua mtu au wewe mwenyewe unaweza kunisaidia nitashukuru sana!
Nawasilisha. asanteni na mfungo mwema