Habari zenu wana Jamii,
Hivi karibuni nimepata wazo la kuanzisha biashara ya chakula ila nina shida ya mwalimu wa mapishi, sana sanaa ni utengenezaji wa SALAD za aina mbalimbali,naomba msaada sana jamani. Kama unamjua mtu au wewe mwenyewe unaweza kunisaidia nitashukuru sana!
Hapo juu kuna app fulani ipo sticky ya mahmood. ...kwa kuanzia ungeidownload hio kuna aina za salad na vyakula tofauti...
Mwalimu wetu humu ni farkhina anaweza kukupa msaada mkubwa in sha Allah
Hapo juu kuna app fulani ipo sticky ya mahmood. ...kwa kuanzia ungeidownload hio kuna aina za salad na vyakula tofauti...
Mwalimu wetu humu ni farkhina anaweza kukupa msaada mkubwa in sha Allah