Mwalimu wa Masomo ya Sayansi part time anatafutwa.

ynyend1

Member
Joined
Nov 19, 2012
Posts
73
Reaction score
13
Habari wana JF.
Ninatafuta Mwalimu wa masomo ya Sayansi PCB ambaye atafundisha masomo ya Physcis, Chemistry na Biology kwa kidato cha Tatu na Cha Nne. Mwalimu anatakiwa awe maeneo ya Dodoma Mjini na awe na uwezo wa kufundisha masomo hayo tajwa. Mwalimu atatakiwa kufundisha masomo hayo kuanzia mida ya mchana (saa tisa) hadi Jioni (Saa moja).
Ambaye yuko interested, tafadhali ni PM kuanzia sasa.
 

oooooh,mi nilifikiri ni morogoro, haya mkuu kwa anayehitaji kwa morogoro mimi nipo
 
Hakuna mwalimu wa masomo 3,huo ni uchakachuaji!waalimu hufundishwa masomo 2 ya kufundisha either physics & math au chemistry & biology
 
Hakuna mwalimu wa masomo 3,huo ni uchakachuaji!waalimu hufundishwa masomo 2 ya kufundisha either physics & math au chemistry & biology

ni kweli mkuu, masomo ya kufundisha ni 2 tu, chemistry na biology wanione kwa morogoro mjini
 
Wewe unatafuta Mwalimu au Kanjanja la Ualimu? Hakuna mwalimu anayefundisha masomo 3, huyo unayemtafuta lazima atakuwa Fresh Form Six Leaver na lazima wewe ni muhusika wa Ka-tuition centre.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…