Kv-london
JF-Expert Member
- Jan 24, 2014
- 2,877
- 5,022
Habar mwalimu wa SoMo la mathematics/physics na computer studies anahitajika
Shule inahtaji huyo mwalimu wa level ya degree au diploma at least awe anaweza kifundisha SoMo mojawapo hapo juu +computer( compulsory)
Akiwa wa kike itakuwa vizuri zaidi
Shule ipo Moshi Dc Kilimanjaro kama ungependa kufanya kazi kijijini karibu sana
Nitumie CV Yako PM
Nta contact na ww after shule kufungukiwa
Goodluck
Kwa maswali zaidi njoo Pm