Mwalimu wa mathematics graduate

Anahitajika sana same mshahara laki sita piga simu namba 0712765010

Hesabu kwa dola 359 du.Halafu serikali inalalamika walimu wa hesabu wapo wachache nani akubali kuumiza kichwa kwa dola 359 kwa mwezi?
 
Wewe unaona haifai lkn tunashukru mungu watanzania wamejitokeza wengi na tumempata lengo ni kuwasaidia hawa vijana wa kitanzania
 
Sawa kaka hiyo ni take home au ndio muanze kukatakata tena?
 
Huwa inakuwa maelewano ukitaka kukatwa tunakata ukiona haifai unachukua yote
 

Walikuwa wanakulipa ngapi ambayo ulikubaliana nao mkuu?
 
Wanadai Wameshampata, Yaani Kaazi kwelikweli.
 
By the way mfanyakazi huwezi kusema uchukue hela yote uliyoambiwa kunakodi ya pay as you earn hiyo lazima ulipe kuna mifuko ya hifadhi ya jamii ingawa watu wengi wanaona haina umuhimu lakini ni uelewa finyu tu mwajiri hapo umempa ulaji bila wewe kujua kwani asilimia yako kumi ambayo anatakiwa akulipie umeikosa.Kwa hiyo hapo hiyo kilo sita wakiikata kwishen unabaki na ele ya hand to mouth.Watanzania wenzangu ishu ya nchi hii si kutegemea kazi san what is needed is to be creative and current with different opportunities.
 
Nilikuwa na madarasa mawili form one walikuwa 60 na form two walikuwa 50.Makubaliano yalikuwa kila siku natoa exercise nasahihisha kwa madarasa yote mawili.Kila week natoa test nasahihisha hiyo nalipwa kwa kila script 400 ilikuwa mwaka 2009,Jumamosi nikienda kufundisha nalipwa 30,000/= ambayo ni 2 hrs always one hrs kwa kila darasa,House allowance nilikuwa napewa 65,000?= kwa mwezi.Mshahara nilikuwa nalipwa kama ilivyo rate ya sasa ya TGTS E.10 kama we ni mwalimu utaijuwa hii ni sawa na sh ngapi ni muhimu sana kuijuwa ili uweze kubargain vizuri na anayetaka kukuajiri.Mitihani yote.Kwa vile nilikuwa bachelor ilinitosha ningekuwa na familia aisee ingekuwa nothing lakini nashukuru nilipata mtaji wa kutimiza malengo yangu ya muda mrefu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…