Mwalimu wa Mathematics natafuta kazi-Kilimanjaro/Arusha

Mr Morogoro

JF-Expert Member
Joined
Apr 23, 2019
Posts
1,245
Reaction score
1,732
Habari wakuu...mimi ni mwalimu wa Mathematics level yangu ya elimu ni Bachelor degree, natafuta kazi ya kufundisha katika shule yoyote.naweza kufanya kazi mkoa wowote Tanzania lakini napendelea zaidi mkoa wa Kilimanjaro or Arusha. Kama kuna mtu anafahamu shule yoyote yenye uhitaji wa mwalimu wa somo tajwa hapo juu asisite kunijulisha.
 
subiri warudi mashuleni,ndipo uwatembelee maeneo husika
 
Tatizo lako unabadilisha badilisha User name mara Mr Kilimanjaro sasa ivi Unatumia Mr. Morogoro
Habari wakuu...mimi ni mwalimu wa Mathematics level yangu ya elimu ni Bachelor degree, natafuta kazi ya kufundisha katika shule yoyote.naweza kufanya kazi mkoa wowote Tanzania lakini napendelea zaidi mkoa wa Kilimanjaro or Arusha. Kama kuna mtu anafahamu shule yoyote yenye uhitaji wa mwalimu wa somo tajwa hapo juu asisite kunijulisha.
 
Tatizo lako unabadilisha badilisha User name mara Mr Kilimanjaro sasa ivi Unatumia Mr. Morogoro
Hapana mkuu,sijabadilisha username...utakua labda uliona vibaya,karibu sana mkuu kwa mchango
 
Apo Kuna za jumuhiya ya wazazi CCM ni private unapaswa kuwa vizuri kwelikweli

CCM DAMUDAMU!!!,CHAMA CHA MAMA &BABA
Hahaaah mkuu nitaenda hapo,nitabeba na ilani ya chama kabisa
 
Back
Top Bottom