Mr Morogoro
JF-Expert Member
- Apr 23, 2019
- 1,245
- 1,732
Sawa mkuu nitajaribu kufanya hivyosubiri warudi mashuleni,ndipo uwatembelee maeneo husika
Kama uko vizuri,unaweza kutembelea wilaya ya mwanga kule mlimani;unaweza kufanikishaSawa mkuu nitajaribu kufanya hivyo
UDSM nimemaliza mwaka 2018Umesoma wapi na Umemalza mwaka gan
Mkuu mwanga milimani sehemu gani...naomba nipe location ya hizo shule kama hutojali mkuuKama uko vizuri,unaweza kutembelea wilaya ya mwanga kule mlimani;unaweza kufanikisha
Habari wakuu...mimi ni mwalimu wa Mathematics level yangu ya elimu ni Bachelor degree, natafuta kazi ya kufundisha katika shule yoyote.naweza kufanya kazi mkoa wowote Tanzania lakini napendelea zaidi mkoa wa Kilimanjaro or Arusha. Kama kuna mtu anafahamu shule yoyote yenye uhitaji wa mwalimu wa somo tajwa hapo juu asisite kunijulisha.
minja,lomwe,usangi day,usangi girls,mruma,kiriki zingine nimesahau,ila zipo nyingiMkuu mwanga milimani sehemu gani...naomba nipe location ya hizo shule kama hutojali mkuu
Ni shule za private mkuu??minja,lomwe,usangi day,usangi girls,mruma,kiriki zingine nimesahau,ila zipo nyingi
Hapana mkuu,sijabadilisha username...utakua labda uliona vibaya,karibu sana mkuu kwa mchangoTatizo lako unabadilisha badilisha User name mara Mr Kilimanjaro sasa ivi Unatumia Mr. Morogoro
Apo Kuna za jumuhiya ya wazazi CCM ni private unapaswa kuwa vizuri kwelikweliNi shule za private mkuu??
ni private,mwaka 2007 kuna moja nilifanya nayo kaziNi shule za private mkuu??
Hahaaah mkuu nitaenda hapo,nitabeba na ilani ya chama kabisaApo Kuna za jumuhiya ya wazazi CCM ni private unapaswa kuwa vizuri kwelikweli
CCM DAMUDAMU!!!,CHAMA CHA MAMA &BABA
Ahsante mkuu,nikipata direction nitajaribu kuwatembeleani private,mwaka 2007 kuna moja nilifanya nayo kazi