Mwalimu wa maths

Mwalimu wa maths

Mtangi mtangi

Member
Joined
Oct 25, 2011
Posts
13
Reaction score
0
Tuliweka tangazo la kuhitaji mwl wa maths tunashukuru tumefanikiwa kumpata asanteni sana kwa wote waliopiga simu kuulizia mmbarikiwe sana wana jf
 
Mmempata Kwa Vigezo gani? Na hii tabia ya kuwarusha roho na kazi zenu hewa ebu muache kabisa.
 
Duh! Labda walimfanyia phone interview,na cm yenu mkaamua kuzima? Mana nimepiga cm mda mfupi baada ya tangazo ikawa haipatikani nikasema ntajaribu baadae kumbe looh,kila ki2 tayari!
 
Kumbuka matangazo hatukuweka humu tuu tatizo mnapenda kulaumu tuu watanzania wengi wapo hivyo
 
Back
Top Bottom