M Mtangi mtangi Member Joined Oct 25, 2011 Posts 13 Reaction score 0 Oct 26, 2011 #1 Tuliweka tangazo la kuhitaji mwl wa maths tunashukuru tumefanikiwa kumpata asanteni sana kwa wote waliopiga simu kuulizia mmbarikiwe sana wana jf
Tuliweka tangazo la kuhitaji mwl wa maths tunashukuru tumefanikiwa kumpata asanteni sana kwa wote waliopiga simu kuulizia mmbarikiwe sana wana jf
Likwanda JF-Expert Member Joined Jun 16, 2011 Posts 3,922 Reaction score 1,149 Oct 26, 2011 #2 Mmempata Kwa Vigezo gani? Na hii tabia ya kuwarusha roho na kazi zenu hewa ebu muache kabisa.
Jeff JF-Expert Member Joined Sep 26, 2009 Posts 1,293 Reaction score 200 Oct 26, 2011 #3 Duh! Labda walimfanyia phone interview,na cm yenu mkaamua kuzima? Mana nimepiga cm mda mfupi baada ya tangazo ikawa haipatikani nikasema ntajaribu baadae kumbe looh,kila ki2 tayari!
Duh! Labda walimfanyia phone interview,na cm yenu mkaamua kuzima? Mana nimepiga cm mda mfupi baada ya tangazo ikawa haipatikani nikasema ntajaribu baadae kumbe looh,kila ki2 tayari!
M Mtangi mtangi Member Joined Oct 25, 2011 Posts 13 Reaction score 0 Oct 26, 2011 Thread starter #4 Kumbuka matangazo hatukuweka humu tuu tatizo mnapenda kulaumu tuu watanzania wengi wapo hivyo