Namtafuta mtu anayeweza kufundisha MS Office kuanzia Basic hadi Expert Level.Awe na uwezo wa kujieleza vizuri kwa lugha ya Kiingereza. Wasiliana nami kwa email kilibata@iit-tz.com
Me najua kutumia ms office 2010 kusoma ms office long time(2002-2003), lakini nipo vizuri kwani nimeshawahi kufundisha programme hii ktk shule moja hapa bongo