ki2c JF-Expert Member Joined Jan 17, 2016 Posts 7,719 Reaction score 14,506 Apr 30, 2022 #2 Mtawapata wakitoa majina ya waliochaguliwa kwenye hizo ajira zilizotangazwa.Mtu hawezi akaharibu nauli aje alipwe kijimshahara,wakati ajira za serikali kashaomba.
Mtawapata wakitoa majina ya waliochaguliwa kwenye hizo ajira zilizotangazwa.Mtu hawezi akaharibu nauli aje alipwe kijimshahara,wakati ajira za serikali kashaomba.
Mbaga Jr JF-Expert Member Joined May 28, 2018 Posts 29,028 Reaction score 69,666 May 2, 2022 #3 Tangazo limekaa kihuni sana, nadhani hiyo shule ni gheto la mshikaji