Mwalimu wa Physics anahitajika haraka sana

Mwalimu wa Physics anahitajika haraka sana

shinji

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2013
Posts
257
Reaction score
174
Sifa:
- Awe na Shahada au Stashahada ya Elimu
- Jinsia (sex) yoyote
- Awe Mtanzania
- Uzoefu kuanzia miaka 0.
- Akiwa na Mathematics itapendeza zaidi (si lazima)

Shule:
QUEEN ESTHER GIRLS MPWAPWA
Mawasiliano: esthergirlschool@gmail.com

KARIBUNI SANA
 
Nina mdogo wangu yeye chuo kasoma chemistry na biology ila physics na math anafundisha fresh vipi anaweza apply? nauliza sababu wengi wakisema wanataka mwalimu wa physics basi wanataka aliyesoma physics chuo!
 
Back
Top Bottom