Mwalimu wa Physics na Mathematics (form 1-6) anahitajika mshahara mnono.

Vigezo
1. Jinsia yoyote
2. Ayamudu masomo yote vizuri o level na A level
3. Uzoefu wa miaka kuanzia 2
4. Akiwa muislamu atapewa kipaumbele zaidi.

Kazi haina udalali tuwasiliane hapa <karibukwetutu@gmail.com>
Tuma vyeti yako kwa email hiyo na CV yako.
Unatafuta mwalimu wa maths na physics au mwalimu wa kufundisha dini ya Kiislamu? jaribu kuwa specific
 
Vigezo
1. Jinsia yoyote
2. Ayamudu masomo yote vizuri o level na A level
3. Uzoefu wa miaka kuanzia 2
4. Akiwa muislamu atapewa kipaumbele zaidi.

Kazi haina udalali tuwasiliane hapa <karibukwetutu@gmail.com>
Tuma vyeti yako kwa email hiyo na CV yako.
Kama shule iko lokesheni nzuri tuongee kwenye PM kwani ninaweza kujitolea bila mshahara! Sasa hivi nafundisha Electronics Chuo kikuu hivyo hesabu nazijua sana. Ila nina umri wa kustaafu ndiyo maana sitahitaji mshahara. Nataka sehemu ya kunikipu bize tu
 
Tafuta kitu kingine cha kukueka bize Mkuu, usizibie riziki vijana waliojaa mtaani
 
Wajukuu zako kichuguu hawajambo?. Huu mchongo uko pemba huko
 
Tafuta kitu kingine cha kukueka bize Mkuu, usizibie riziki vijana waliojaa mtaani
Usiogope; si interview itafanyika mkuu? Sidhani kama mwajiri huyo atatoa ajira hiyo kwa urahisi tu. Anayefanya vizuri kwenye interview ndiye anachukua mzigo. Vijana wajiandae tukapambane kwenye interview. Kupenda vya urahisi ndiyo kunafanya vijana wetu wanyang'anywe kazi na wakenya kwa urahisi kwani hawawezi kufanya intervie ya ushindi. Wajiandae kufanya vizuri kwenye interview. Elewa kuwa mojawapo ya sifa ambazo waajiri wanataka ni huduma ya muda mrefu, kwa hiyo iwapo kutakuwa na kijana akafanya vizuri kwenye interview, mwajiri hatachukua mstaafu kama mimi ambaye ninaweza kutoa huduma kwa miaka miwili au mitatu tu wakati kijana ataweza kutoa huduma kwa hadi zaidi ya miaka 15.
 
Inakuaje mkuu si urudi kufuga shamba ule mafao, mazao na fresh meats? Wewe muda huu wa kurudi kwenu ukerewe tu
 
Nilikwenda shule kwa sababu ya kutotaka kulima. Unataka nirudi kwenye kazi niliyokimbia miaka mingi iliyopita?Utakuwa unafanya utani.
Mkuu kichuguu kwa umri wako huu Lima tu kwa sabab huhitaji tena kuwa mtu anayetafuta maisha bali unafanya mazoez ya kuinua mgongo na kukomaza mifupa huku ukiimarisha afya kwa kula chakula fresh kutoka shamban kwako mwenyewe.

Hapo uwe na utaratibu mzuri wa kukusanya kodi kwenye majumba uliyoyajenga. Na utaratibu huo utumie kwenye miradi yako ya ujanani iliyoendelea hadi leo. Andika wosia kabisa kwa wanao kulingana na tabia zao
 
Back
Top Bottom