Ni sawa anafundisha watoto kujiamini. Watoto wa umri huo huna cha maana cha kuwafundisha zaidi ya kuwa na uthubutu , kujiamini na kujaribu bila kuangalia spectators wanasemaje ...Mimi ningekua na mtoto hapo nisingeona shida mana hakuna kibaya alichofanya