Kama ni mwalimu wa sekondari, masomo ya maths, physics, chemistry, geography na biology na una muda kuanzia Jumatatu hii kwa week 2 basi niPM.
Kuna mtoto wa form two anayehitaji intensive crash tuition. Uwe unapatikana Tabata, mtoto yuko kinyerezi; hivyo unapaswa kumfundishia nyumbani.
Uko tayari na uko jirani, tuongee kwa PM.
Asante.