Mwalimu wa somo la computer

Mwalimu wa somo la computer

tinaalfred

Member
Joined
Aug 5, 2011
Posts
15
Reaction score
3
Wadau wa jf kwa yeyote mwenye shule, chuo au taasisi yoyote kama mnahitaji mwalimu wa computer
aliyebobea katika course zote kwa kumaliza shahada ya ualimu kwa somo la computer tuwasiane email simpolialfred@gmail.com
phone: 0762578195
 
Pole sana ndg yangu, ma frnd Fredy, Makumira 2me2pwa comptr science akuna ata m1 amechukuliwa! Mi namshkr Mungu nmepata job kwny NGO ya compassion ngaz ya ukurugenzi uku uku Arusha, so ualimu nmeuweka kando kwanza! Vp ujapata mchongo wowte uko? Tito.
 
sasa ni kujisifu, au mnafahamiana?

Back
Top Bottom