Blank page JF-Expert Member Joined May 28, 2015 Posts 5,487 Reaction score 4,817 May 31, 2015 #1 Habar yenu wakuu? Mimi ni form 6 leaver nimesoma CBG natafuta nafasi ya kuwa mwalimu wa tempo katika shule yoyote kwa masomo tajwa hapo juu.kwa anaefahamu shule inayohitaji plz msaada anambie
Habar yenu wakuu? Mimi ni form 6 leaver nimesoma CBG natafuta nafasi ya kuwa mwalimu wa tempo katika shule yoyote kwa masomo tajwa hapo juu.kwa anaefahamu shule inayohitaji plz msaada anambie
Blank page JF-Expert Member Joined May 28, 2015 Posts 5,487 Reaction score 4,817 May 31, 2015 Thread starter #4 Duniaze said: jkt vp Click to expand... jkt sijachaguliwa mkuu,so nipo tu mtaani now
Blank page JF-Expert Member Joined May 28, 2015 Posts 5,487 Reaction score 4,817 May 31, 2015 Thread starter #5 hanee said: Njoo muleba Click to expand... samahan mkuu,sijaweka sawa kwamba isiwe mbali sana na mkoa wa mbeya.but hata huko ningeweza fika sema sina hata hela ya kuanzia safari au maisha.
hanee said: Njoo muleba Click to expand... samahan mkuu,sijaweka sawa kwamba isiwe mbali sana na mkoa wa mbeya.but hata huko ningeweza fika sema sina hata hela ya kuanzia safari au maisha.