Ibrahim daud JF-Expert Member Joined Feb 10, 2013 Posts 609 Reaction score 524 Oct 14, 2021 #1 Kutokana na hali ngumu nimepata kazi katika moja ya vyuo vya ufundi kutokana na elimu yangu ya degree na uzoefu kwenye ujenzi boss kanipa somo la plumbing sasa. Anataka niandae syllabus. Mwenye muongozo na hili anisaidie.
Kutokana na hali ngumu nimepata kazi katika moja ya vyuo vya ufundi kutokana na elimu yangu ya degree na uzoefu kwenye ujenzi boss kanipa somo la plumbing sasa. Anataka niandae syllabus. Mwenye muongozo na hili anisaidie.