Mwalimu wa Walimu Mzee Ernest Meza Kizo ameaga Dunia!

Mwalimu wa Walimu Mzee Ernest Meza Kizo ameaga Dunia!

MAKULUGA

JF-Expert Member
Joined
Jan 21, 2011
Posts
7,828
Reaction score
10,527
Kwa wale wakongwe waliosomaChuo Cha Ualimu Mpwapwa, Bustani na Butimba miaka ya 1960 hadi 1990 mwanzoni bila shaka watamkubuka Mwalimu wao mahiri Mzee Kizo,(91)! Bila shaka PM Majaliwa yupo ktk kundi hili!
Mzee wetu huyu alitefundisha maelfu ya walimu Tanzania ametangulia mbele ya Haki Jumapili iliyopita ktk Hospitali ya Bugando Mwanza.
Msiba upo nyumbani kwake Butimba Mwanza !
Mazishi yanatarajiwa kufanyika Chabutwa ,Sikonge ,Tabora Ijumaa Tarehe 19/05/2023 .
Buriani Mwalimu Kizo ..kazi Umeimaliza!
 
Back
Top Bottom