Man from cuba
JF-Expert Member
- May 2, 2021
- 571
- 1,394
Huyu ni mwl Yusuph, mwl ambaye kwake ualimu ni wito kama enzi za Nyerere
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mzee Yusuf je?Huyu ni mwl yusuph,mwl ambaye kwake ualimu ni wito kama enzi za Nyerere
Huyu jamaa ni hatari sana tena anasaidia hadi wanafunzi wanaoishi mazingira magumu kupitia wadau mbalimbali.Huyu ni mwl yusuph,mwl ambaye kwake ualimu ni wito kama enzi za NyerereView attachment 2445487
Maarufu Sana huyu mwl naskia yupo kigomaMbona kama namjua huyu mwalimu
Inatakiwa apongezwe pia wizara imuangalie km inaweza kumtumia kwenye uhamasishaji ili wanafunzi waache utoroHuyu jamaa ni hatari sana tena anasaidia hadi wanafunzi wanaoishi mazingira magumu kupitia wadau mbalimbali.
Ila mtindo wake wa kufundisha unawavutia watoto wengi na huwa hawaachi kwenda shule sababu ya huyo mwalimu.
Ni ajira km zingine mtu akifanya vizuri lazima apongezweZama zimebadilika
Enzi za Nyerere na ujamaa ndio ilikuwa haki kuita au kusema wito.
Kwa Sasa ni Ubepari na Nduguye Ubeberu hakuna Cha wito au mdogo wake walipwe wanavyostahili
Hiyo hata uratibu elimu kata hawezi kupewa kwa watu wa CCM Hawa,ataishia humo tu kula vumbi.Inatakiwa apongezwe pia wizara imuangalie km inaweza kumtumia kwenye uhamasishaji ili wanafunzi waache utoro