Hizi singeli sasa hatari. Mwalimu wa usafi aliingia darasani akakuta darasa chafu ikabidi aulize wanafunzi "Zamu ya nani leo?".
Wanafunzi wakajibu "Zamu ya man fongoooooo!" Mwalimu akabaki ameduwaa mmoja akasema zamu yako itafika kesho usiwaze mwalimu wangu