Basi mwalimu Edward alipomaliza kuandika maswali, akakaa sehemu yake kisha akawa anasubiri mwanafunzi aliye maliza apeleke daftari ili amsahishie. Lakini katika hali isiyokuwa ya kawaida akashangaa kuona mtoto mmoja akijipaka mate kichwani...!!! Mwalimu Edward alihamaki sana na kuinuka kwa hasira huku kashika fimbo. Akamfuata na kumuuliza: MWALIMU; "Weee mjinga kwanini unajipaka mate kichwani..! Hujui Kama ni uchafu..??" MTOTO; "Hapana sio uchafu mwalimu...!!" MWALIMU; "Mpumbavu kabisa wewe, sasa ni mchuzi uo...aya niambie wewe... ni nini