Mwalimu

Mwalimu

Israel masawe

Senior Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
143
Reaction score
57
Hi! Wanajamii, nadhani wapo walimu wanaotaka kuhamia mko wa ARUSHA. Walimu kutoka mkoa wa Kilimanjaro Tanga na Morogoro tuwasiliane 0755883313
 
Kama utakubali kunigharamikia huo uhamisho mi nipo tayari, ni mwalimu nipo tanga naweza kuhamia Arusha, lakini nigharamiwe huo uhamisho
 
Walimu wenyewe mishahara haiwatoshi ndo maana wameamua kujiongezea kipato kama mwalimu Doroth na RPC Barlow huko Mwanza, poleni sana maana kuandamana ndo hivo hamtaki
 
Hi! Wanajamii, nadhani wapo walimu wanaotaka kuhamia mko wa ARUSHA. Walimu kutoka mkoa wa Kilimanjaro Tanga na Morogoro tuwasiliane 0755883313

Yahusu bluu hapo juu. Vipi sisi tulioko Arusha, hatuna nafasi?
 
kweli maisha ni magumu kwa walimu ila sio kwa wote, so utani uwe kiasi. Am serious. Pia kwa mwalimu wa wilaya za Arusha na Arumeru tuwasiliane. Aliye nje ya mkoa asiwe na wasiwasi. Gharama nitachangia za kushughulikia uhamisho na nusu ya gharama za nauli.
 
Back
Top Bottom