Walimu wenyewe mishahara haiwatoshi ndo maana wameamua kujiongezea kipato kama mwalimu Doroth na RPC Barlow huko Mwanza, poleni sana maana kuandamana ndo hivo hamtaki
kweli maisha ni magumu kwa walimu ila sio kwa wote, so utani uwe kiasi. Am serious. Pia kwa mwalimu wa wilaya za Arusha na Arumeru tuwasiliane. Aliye nje ya mkoa asiwe na wasiwasi. Gharama nitachangia za kushughulikia uhamisho na nusu ya gharama za nauli.