Jurrasic Park
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 3,801
- 6,806
Duhhh asante maana yeye kazaliwa mjini sasa sijui itakuwaje sijui atakimbia au?Huko ni usukumani mkuu, ajiandae kuwa mkulima mzuri maana kuna ardhi yenye rutuba na kama unavyojua wasukuma sie huwa ni wachapa kazi sana. Pia cha kuongezea huko sio mji mkubwa sana ila kuna mzunguko wa kawaida wa pesa hasa kipindi cha mavuno.
Huko ni usukumani mkuu, ajiandae kuwa mkulima mzuri maana kuna ardhi yenye rutuba na kama unavyojua wasukuma sie huwa ni wachapa kazi sana. Pia cha kuongezea huko sio mji mkubwa sana ila kuna mzunguko wa kawaida wa pesa hasa kipindi cha mavuno.
Wilaya ya Kwimba mkoani MwanzaHujataja wilaya wala mkoa Maelezo yako ni hafifu mno