Mwamba akiwa na furaha anarejea home jioni mikono mitupu baada ya kutumwa sukari asubuhi

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2020
Posts
3,585
Reaction score
8,106
Mwamba akiwa na furaha anarejea home jioni mikono mitupu baada ya kutumwa sukari asubuhi!

Legend returning home in the evening with a big smile after being sent to buy sugar in the morning.

FB_IMG_16587532634242351.jpg
 
MWAMBA AKIWA NA FURAHA ANAREJEA HOME JIONI MIKONO MITUPU BAADA YA KUTUMWA SUKARI ASUBUHI!

LEGENG RETURNING HOME IN THE EVENING WITH A BIG SMILE AFTER BEING SENT TO BUY SUGAR IN THE MORNING
Halafu katikati ya furaha yote hiyo aliyonayo akitua tu nyumbani utashangaa anatandikwa viboko vya hatari kisha kuishia usingizini bila kupewa chakula ikiwa kama adhabu. Ni ukatili mbaya sana unaofanywa na wazazi dhidi ya watoto wao. Wazazi wanawaharibu watoto wao wenyewe. Mtoto akiwa mwenye furaha usikimbilie sana kumuadhibu.
 
kwa hio kutumwa sukari asubuhi asilete arejee jioni akiwa na furaha kabisa unataka abebwe mgongoni arushwe rushwe juu sababu ni shujaa??

angekua ni mwanangu ningemtandika mpaka atie akili ili siku nyingine nikimtuma alete nilichomtuma kisha akacheze na sio afanye hivo asipoadhibiwa ataona ni sahihi alichofanya
 
Halafu katikati ya furaha yote hiyo aliyonayo akitua tu nyumbani utashangaa anatandikwa viboko vya hatari kisha kuishia usingizini bila kupewa chakula ikiwa kama adhabu. Ni ukatili mbaya sana unaofanywa na wazazi dhidi ya watoto wao. Wazazi wanawaharibu watoto wao wenyewe. Mtoto akiwa mwenye furaha usikimbilie sana kumuadhibu.

Mfano mwingine wa graduate wa hovyo
 
𝐬𝐨𝐣𝐚𝐞𝐥𝐞𝐰𝐚 𝐜𝐡𝐨𝐜𝐡𝐨𝐭𝐞 𝐤𝐚𝐭𝐢𝐤𝐚 𝐮𝐳𝐢 𝐡𝐮𝐮
 
... kuna kipondo cha maana kinamsubiri huko; maisha yake yako hatarini ila hana namna has to go home it's dark now!

Michezo kibao wanakuja kustuliwa na darkness it's time to go home. Ila watoto wa hivi wanasumbua balaa japo wengi ni magenius fulani hivi wanatusua kimaisha wala hawahitaji sana shule ngumu kutoboa.
 
Hahaha umenikumbusha udogo wangu.
Kuna siku nilitumwa mchele wa kula usiku ilikuwa mida ya saa 10 jioni.

Kufika sokoni nikapitia Banda la video. Nikaona kasha za muvi Kali Kali.
Kucheki rafiki yangu nilikuwa nasoma naye akasema tuzame ndani atanilipia.

Mwamba nikaingia kuchek.muvi nikasahau hata kama niliagizwa na hata hela nikaanza kulipia muvi zinazofuata.

[emoji1787]Akili z utoto Mimi nilikuwa naangalia juu ya anga, bSi naona mwanga nahisi Bado mda haujaenda Sanaa.

Halooo kuja kutoka nje saa 3 usiku kwenda home nilichezea stiki hatarii na kunyimwa hela ya shule, ikawa Kila mgeni akija au ndugu anaambiwa naanza kupigwa tena
 
Noma sana. Kinachokuja kuwastua ni kujikuta umebaki peke yako wenzio wote washasepa home and usually hakuna kuagana kila mmoja afe kivyake.

Ila kama ulishuhudia mabanda ya video utotoni wewe wa jana; wengine michezo ya utotoni haikuwa hiyo.
 
Back
Top Bottom