Etugrul Bey
JF-Expert Member
- Aug 6, 2020
- 6,514
- 15,247
Narudi zangu home baada ya harakati za hapa na pale za mtu mweusi, huku nikiwamind dereva na konda wake baada ya kutufaulisha Kwa kukata ruti,kisa eti trip hailipi kwakuwa hawakuwa na abiria WA kutosha, basi tukafualishwa kibwege na safari ikaendelea.
Na Mimi ndio mwana Jf pekee utanisikia nikisema nimepanda dala dala maana wengine wote utasikia nimepaki gari,au gari imezima barabarani au traffic wamenisimamisha,,,Kwa jambo hili inabidi nijengewe sanamu pale ferry karibu na white house.
Anyways baada ya hizo porojo mbili tatu sasa tufungue code
Basi kabla sijafika home na baada ya kushuka Tu ktk daladala nikakumbuka kuna ofisi moja kuna kitu nilitaka kwenda kukicheki,hiyo ilikuwa around kama saa mbili na nusu usiku.
Basi nakutana na mhusika na kuanza maongezi mawili matatu mara paap! Simu ya mwamba inaita,kama unavyojua bongo customer care ni mbovu,badala ya jamaa Kwanza kumalizana na Mimi halafu aendelee na mambo mengine yeye akaamua kupokea Simu ya demu wake.
Kwa kuwa najua subira ndio kila kitu katika Maisha basi nami nikasubirI, sasa mwamba Akaona isiwe tabu akaweka loud speaker on.
Ikasikika sauti upande wa pili WA simu
" Hivi hiyo Simu yako inapokea meseji?"
Mwamba akajibu ndio
upande wa pili WA Simu " yaani nimeamka asubuhi na mapema nimekutumia msg ya kukuwish happy birthday halafu mpaka Mda huu hujajibu wala kusema asante,,wewe ni mwanaume gani lakini "
Mwamba akajibu umenitumia katika line gani kwani?
upande wa pili WA Simu " si hiyo hiyo ya siku zote"
Bahati nzuri au mbaya nami Simu yangu ikaita na kulazimika kutoka nje ili tuweze kusikilizana.
Sikujua Yule mwamba alisolve vipi Ile ishu, by the time naingia tena ofisini kwake mazungumzo yalikuwa yameisha TAYARI.
Hii ishu imenikumbusha tukio moja wakati nipo chuoni,ilikuwa siku ya Wajinga duniani, basi shemeji yenu na wifi yenu wa kipindi Hicho,akanitumia meseji inasema hivi
"Mimi na wewe tumeachana rasmi"
Basi kama alivyofanya huyo mwamba hapo juu,nikala bati kimya sikujibu chochote, jioni binti ananiambia nilikutumia Ile meseji kwakuwa Leo ni siku ya Wajinga nikataka kujua utareact vipi?
Nikajifanya kama sikujua ilikuwa ni siku ya Wajinga duniani,nikamjibu
Nilifikir umeamua hivyo ndio maana nikakaa kimya
Tuishi Maisha marefu mabaharia wote!!!
Ni hayo Tu!