Mwamba anaendesha Utopia kwenye Mafuriko Dubai

Mad Max

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2010
Posts
26,961
Reaction score
77,890
Watu wana balaa na dharau za mapesa. Huko Dubai mvua zimeleta majanga ya mafuriko hadi miundombinu kama barabara na airports kuacha kufanya kazi kwa muda.


Sasa kuna jitu lenyewe halijali, limeonekana likiendesha gari yake Pagani Utopia kama ni off-road car kwenye maji. Na gari haikuzima (labda kama ilizima off camera)



Shida sio bei ya hii gari $2.5 Million (Bil 6.5 hivi Tsh bila ushuru) ila shida ni kwamba izo gari Duniani zipo 99 tu. Sijakosea.


Ukitokea siku ndugu msomaji wa huu uzi umeipata, Taifa lazima likutambue.

Asanteni.
 
Kwani huko mqji yamegoma kukauka kabisa?
 
Hawatakagi Mchezo Mchezo kwenye matumizi ya fedha na ndio Raha ya fedha kutumia tuu
 
Dubai wanakula maisha zaidi ya mbinguni..
Juzi nimeona hizo picha kwenye twitter nilishangaa mno
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…