KENZY
JF-Expert Member
- Dec 27, 2015
- 32,529
- 76,691
Hivi karibuni tu kaachana na manzi yake ilikuwa kuzaizai hatari!,kwa Mbilinge alizofanyiwa ikabidi tumshauri tu aachane na manzi yake. Msela akaachana kwa uchozi wa mamba na kuapa kwa maneno mengi huku akiyatukana mapenzi na kulaani ile mbaya!.
Mwamba hakomi juzi si nimeketinae mara simu ikaita alikuwa ni manzi mwengine wakaongea sana tu,tena walikuwa wanaongea mambo ya kawaida ila mwishoni wakati wanamaliza maongezi mwamba nikasikia anamwambia demu ati "I love you". Nilikuwa natafuna jojo ilibidi niimeze jumlajumla huku nikimkata Jicho lile la mjusi kabanwa na mlango!..
Sikutia neno mi nasubiri movie la sandeo lianze na mara hii nasimama upande wa jambazi kuu maana sterling ameanza kuzingua!