Mwamba haonyeki, kaanza kuyakanyaga!

KENZY

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2015
Posts
32,529
Reaction score
76,691
Hivi karibuni tu kaachana na manzi yake ilikuwa kuzaizai hatari!,kwa Mbilinge alizofanyiwa ikabidi tumshauri tu aachane na manzi yake. Msela akaachana kwa uchozi wa mamba na kuapa kwa maneno mengi huku akiyatukana mapenzi na kulaani ile mbaya!.

Mwamba hakomi juzi si nimeketinae mara simu ikaita alikuwa ni manzi mwengine wakaongea sana tu,tena walikuwa wanaongea mambo ya kawaida ila mwishoni wakati wanamaliza maongezi mwamba nikasikia anamwambia demu ati "I love you". Nilikuwa natafuna jojo ilibidi niimeze jumlajumla huku nikimkata Jicho lile la mjusi kabanwa na mlango!..

Sikutia neno mi nasubiri movie la sandeo lianze na mara hii nasimama upande wa jambazi kuu maana sterling ameanza kuzingua!
 
Kila jambo lina wakati wake

Kuna wakati wa kulia na wakati wa kucheka, wakati wa kuchukia na wakati wa kupenda
 
Acha mwenzio ale vitu
 
Kwa hiyo unataka mwana akae single hadi lini? Akimiss utelezi unadhani inakuwaje?
 
Unazungumzia Harmonize au?
 
Sasa hutaki mwenzako awe na mpenzi?
Ule mchezo mtamu atafanyaje?
 
Ukiungana na jambazi itakuwa terable danger kwa stering..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…