Sawa blaza ngoja nimalizane na mteja kwanza[emoji1545]Dah! Kaka hebu soma uzi tena
January ngumu sana hii wateja hakuna kabisa[emoji2827]Dah! Kwa hili night hatari sana
Brother trust me kuku wameadimika vilingeni, ukiona mganga anakula kuku kipindi hiki hiyo ni bakshish ya Dec au ni broiler[emoji23]Ngumu mpaka kwenu dah!