Mwamba huyu hapa 'Bambo' ni muigizaji mkongwe sana nchini Tanzania 🇹🇿

Mwamba huyu hapa 'Bambo' ni muigizaji mkongwe sana nchini Tanzania 🇹🇿

Magical power

JF-Expert Member
Joined
Sep 27, 2022
Posts
2,158
Reaction score
5,626
Mwamba huyu apa Bambo ni muigizaji mkongwe sana nchini Tanzania na hajawai kupoteza ubora kwenye kazi yake huyu mwamba achia msemo wake mmoja hapo ♥️🌺🍀

1730314133604.jpg
 
Mkuu kuna kitu kimetokea hapo unaweza jua ni kawaida ila kwa sisi wafatiliaji wa angel Time ni kitu kimoja kikubwa sana..

Mda ambao wewe unaandika hiyi kauli ya ""nacheka lakini naogopa""
Mda huo huo na mimi nilikua naandika...

Uja notice kitu hapo mkuu 😂 😂 😂 😂
Mkuu nimenotice aisee imenifanya nicheke snaaaaa
 
Back
Top Bottom