Magical power
JF-Expert Member
- Sep 27, 2022
- 2,158
- 5,626
Mkuu mkuuNacheka lakini naogopa
MkuuuMkuu mkuu
Mkuu kuna kitu kimetokea hapo unaweza jua ni kawaida ila kwa sisi wafatiliaji wa angel Time ni kitu kimoja kikubwa sana..Mkuuu
Mkuu nimenotice aisee imenifanya nicheke snaaaaaMkuu kuna kitu kimetokea hapo unaweza jua ni kawaida ila kwa sisi wafatiliaji wa angel Time ni kitu kimoja kikubwa sana..
Mda ambao wewe unaandika hiyi kauli ya ""nacheka lakini naogopa""
Mda huo huo na mimi nilikua naandika...
Uja notice kitu hapo mkuu π π π π
πππ Unajua ni kama tulikua tunawaza pamoja hviMkuu nimenotice aisee imenifanya nicheke snaaaaa
Kwannπππ€·π½ββοΈNacheka lakini naogopa
Ni kweli kabisa mkuu yaani tumewaza kitu kimoja kwa muda mmoja aisee tukio kama hili ni adimuuππ. Mkuu usikute tupo sehemu Moja me nipo tabata we wapi mkuuπππ Unajua ni kama tulikua tunawaza pamoja hvi
Mkuu mi nipo gongo la mboto ila nina mashangazi huko maeneo ya tabata aiseee πππππ π πNi kweli kabisa mkuu yaani tumewaza kitu kimoja kwa muda mmoja aisee tukio kama hili ni adimuuππ. Mkuu usikute tupo sehemu Moja me nipo tabata we wapi mkuu