Mwamba huyu hapa 'Bambo' ni muigizaji mkongwe sana nchini Tanzania πŸ‡ΉπŸ‡Ώ

COINSIDENCE
Kwa kimombo wanasemaga ivyo na inatokeaga Sanaa.

Umevaa dhati flan au tshirts unakutana na mtu nae kavaa vile vile

Una kaa Chini ya mti Ile unanyanyuka TU nyoka anadondoka ulipo kua umekaa

Unatoka ulipukua Ile unafika sehemu kwenye ukuta ukuta unakudondokea..

Unaweza kukutana na mtu sehemu bila kutarajia

Unawaza kumpigia simu mtu au kum text mtu unashanga Kapiga au kakutumia sms

Mambo ni mengi
 
Sasa mkuu hii inatokea kwa sababu gani .
Ukute huyu jamaa machafuko jr ni mimi nikiwa another universal
 
Tangu enzi za kina max,,swebe na zembwela kwenye igizo la keki ya harusi...😁😁
Mkuu sio keki ya birthday kweli? πŸ˜‚πŸ˜πŸ˜‚ au ni tofauti na ile keki ya birthday aliyotumwa na Ben branco kupeleka kwa muogo-mchungu, akala keki zote njiani kumbe zina sumu, πŸ˜‚πŸ˜πŸ˜‚πŸ˜
Enzi hizo kaole walikuwa wamoto sana.
Max na zembwela
Bambo na kingwendu.
Ntanga alikuwa kundi jingine na mau fundi. Naona baada ya makundi kusambaratika bambo yuko na ntanga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…