Mwamba huyu hapa kazaliwa upya, Mabeberu wajipange

Mwamba huyu hapa kazaliwa upya, Mabeberu wajipange

Vladivostok

JF-Expert Member
Joined
May 15, 2022
Posts
307
Reaction score
1,387
Hii picha imepostiwa na binti yake Gaddafi mtoto ni Gaddafi mtupu.apo kavaa kama babu yake muammar Gaddafi.
FB_IMG_16690639699465957.jpg
 
Kama gadafi alihujumiwa na mwanae kipenzi seif al Islam tegemea huyu nae atahujumiwa hata na ***** mzazi
 
Kuishi kwa matumaini ya kichoko.


Kwahiyo mijitu mikubwa yote iliyopo Sasa hivi ni BURE kabisa.

Matumaini ni huyo mtoto, na sababu kubwa ni kuwa anafanana na Gaddafi
 
Atii sheria za marekani bila shuruti maana kinyume na hapo ataishia mtaroni kama maji taka.
 
Hii picha imepostiwa na binti yake Gaddafi mtoto ni Gaddafi mtupu.apo kavaa kama babu yake muammar Gaddafi.View attachment 2425771
Kufanya kwa sura haimaanishi itikadi na ubongo upo sawa.

Hata wale mapacha identical kamwe hawezi kuwa na mtizamo sawa.

Watoto wa Idd Amin pamoja na ubabe wa baba yake ila ni watoto wema Sana.

Hivyo, hata huyo mjukuu wake akiweza kubafilisha makosa ya baba yake ya kutumia rasilimali za nchi Yao kueneza dini na kumtafuta umoja wa Africa wa kidini wa kulazimisha anaweza kuwa kiongozi mzuri sana
 
Hii picha imepostiwa na binti yake Gaddafi mtoto ni Gaddafi mtupu.apo kavaa kama babu yake muammar Gaddafi.View attachment 2425771
hawa watoto wa kizazi hiki cha dijitali sio wa kuwategemea kubeba maono ya ukoo au familia.

wengi wao akili zao zinakuwa distracted na masuala ya usasa,anasa, bata nk.

rolemodes wao ni hawa mastaa wa marekani ambao bahati mbaya wengine tayari wameshajitangaza ni mashoga.

wakiwa wakubwa huwa wanafata interest zao wanajiweka mbali na maono ya baba/babu zao.

unaweza kuta huyo dogo akiwa mkubwa interest yake itakuwa masuala ya traveling, driving sports cars, football, sailing au photography.

anyway tumpe mda tuone makuzi yake.
 
Back
Top Bottom