Acha ushamba kwani kila kitu lazima ukijue humu vitu vingine kama hujui unakausha tu wanaojua wata comment!Umeandika kama vile sisi wote humu tunashinda kijiweni kwenu mnapobishania kuhusu Mo na Bakhressa.
Sasa nani huyu?
Umezaliwa baada ya el ninyo utamjuaje?Ndo nan huyu
Ni yeye aisee....Kuna mdau alipost kuhusu selestian sikinde mbunga kuwa alishafariki long time ago. Ukweli kuwa,huyu jamaa Bado anaishi na anapatikana mkoani Lindi wilaya ya Ruangwa Kijiji Cha Lipande.
Hiyo picha alipigwa 06march 2022,akiwa nyumbani kwake Kijiji tajwa hapo juu.
🤣🤣🤣🤣 Violence mode activatedUmezaliwa baada ya el ninyo utamjuaje?
🙏🙏Aiseee!Legend wa soka huyo alikuwa kiungo mshambuliaji wa Yanga
Sasa unapoanzisha mada bila maelezo ya kina unadhani ni sala ya kwenye misa kila mtu anajua. Ulipost ya nini kama huwuzi kuelezea?acha upimbiAcha ushamba kwani kila kitu lazima ukijue humu vitu vingine kama hujui unakausha tu wanaojua wata comment!
Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
Mjibu bwamdogo kiustaarabu tu hupungukiwi kitu mkuu...!Acha ushamba kwani kila kitu lazima ukijue humu vitu vingine kama hujui unakausha tu wanaojua wata comment!
Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app