Expensive life
JF-Expert Member
- May 2, 2020
- 2,971
- 9,437
Sasa watu wanamlaumu manara hapa kosa lake nini? Mbona kama katuchana vile alafu kwani yeye ndio anapaswa kutuchukulia hatua ama sisi wenyewe?
UTAZANI WASIO JULIKANA POZI LAO
Kaisema lini hii, ajiandae kuwajibishwa na chama chake.
New young africans football club. President.Who is this guy......
hahaaa..Kaisema lini hii, ajiandae kuwajibishwa na chama chake.
Ama lah atakuja kuomba radhi kua alikua anatania tu kama yule chapombe.
Unajua mtu akilewa ndo huwa anaropoka kile anaamini kiukweli kweli.hahaaa..
Na ile video nape alikuwa amelewa ukichunguza unaona gestures zake.
Sure mkuu juzi kati nimelewa nikaropoka stori na mzee fulani nilikuwa tunabadilishana mawazo najuuta sana.Unajua mtu akilewa ndo huwa anaropoka kile anaamini kiukweli kweli.
Pombe inasingiziwaga tu ila inapush sana ule uhalisia wa mtu wa ndani kabisa, na kile kitu anapenda.
Hahahahaha hy style ya barghashia inaitwaje ?
Huyu sasa ndio nzee wa wananchi halisimzee tuna Imani na wewe.timu irudi kwa wazee,wapigaji hawana nafasi kwenye timu yetu