Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,872
- 34,363
MWAMBA HUYU HAPA...
BLUCE LEE alivunja rekodi ya dunia Mara 10 ndani ya miaka miwili tu.Bluce Alivunja rekodi ya dunia baada ya kupiga push up 2000 kwa kutumia vidole viwili vya mkono moja,kupiga Push up 15000 kwa mikono miwili bila kupumzika,Push up 4000 kwa mkono moja na Push up 1000 kwa kidole gumba cha mkono moja,kurusha punje ya mchele hewani na kuidaka kwa kutumia kijiti cha kulia chakula(chopstick)
,Kufungua kizibo cha soda kwa kutumia vidole viwili,kupiga ngumi tisa(79) kwa sekunde moja na mateke tisa(98) kwa sekunde moja.Alipiga teke kiroba cha mchanga chenye uzito wa kilo 1350 na kuruka futi 50 hewani,Bluce lee nguvu ya ngumi(punching force)yake ilikuwa na kilo 15870 sawa na Mohammed Ali wanne,lakini Bluce lee alikuwa na kilo 92 na Mohammed Ali 117.
Ngumi yake ya inchi moja(one inch punch) ilikuwa ina uwezo wa kumrudisha nyuma mita 5-6 Mwanaume mwenye kilo 98.Bluce lee alikuwa mchina wa kwanza kurekodi filamu Hollywood Marekani na katika Sanaa ya kupigana(Martial art) yeye pekee ndiye aliyevunja rekodi ya dunia Mara 10 ndani ya miaka 2 tu.Bluce lee alizaliwa 27 Novemba 1940 California Marekani na kufariki 20 Julai 1973 Hong Kong akiwa na miaka 32.